Tuesday, December 27, 2011
Jahazi Modern Taarab yasherehekea besdei yake ya miaka mitano kwenye gemu
Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuf akiwa kwenye meza ya keki wakati wa onesho maalum la kundi hilo kutimiza miaka 5 ya bendi yake hiyo lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam
Mzee Yusuf akiimba kwa manjonjo.Mzee Yusuf akiwasili ukumbini huku mashabiki wake lukuki waliwa wamelizunguka gari aliloingia nalo
Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarabu, Fatma Mahmoud akifanya vitu vyake.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment