Monday, January 16, 2012
CHARLES BABA "AKIBATIZWA" NDANI YA MASHUJAA
Ilitokea mwisho wa wiki wakati Charles Baba alipopanda kwa mara ya Kwanza katika Jukwaa la Mashujaa mara baada ya kutimka toka Twanga pepeta, Hapa anaonekana akiwa na wasanii wa Bendi ya mapacha Watatu katika show ya pamoja.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment