MAZISHI YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA, SISI TULIKUPENDA LAKINI MUNGA ALIKUPENDA ZAIDI
Mama Yake Marehemu Steven Kanumba akimwaga mwanae kabla ya mazishi
Buriani Steve Kanumba sisi tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi, safari ya mwisho ya Marehemu Steven Kanumba katika makaburi ya Kinondoni, Steven alipata mazishi ambayo katika nchi yetu ni Mwalimu Nyerere tuu aliyapata, Tutakukumbuka daima Picha zaidi Bofya hapa chini
R.I.P Kanumba. ni kweli ulipendwa na ukapendeka... wew ni nyota uliyezimika kama mshumaa!!
ReplyDelete