MTOTO WA WAZIRI WA FEDHA KENYA, NJERU GITHAE AJINYONGA.
Mtoto wa kiume wa
waziri wa Fedha wa Kenya ambaye pia ni mbunge wa Ndia, Bw Njeru Githae
amejinyonga huku nyumbani kwao Nairobi
Brian Njeru Karanga
mwenye umri wa miaka 26, alikutwa akining”inia katika kamba aliyoitumia kutoa
uhai wake nyumbani kwao maeneo ya kifahari ya Runda estate mjini Nairobi, Brian
alikuwa ni mtoto wanne katika familia na ni mwanafunzi wa mwaka wa nne computer
science katika chuo kikuu cha Nairobi, Polisi bado wanachunguza mazingira
yaliyosababisha Brian kutoa uhai wake.
No comments:
Post a Comment