BALOTELLI ATEGEMEA KUPATA MTOTO NA MPENZI WAKE WA ZAMANI
Raffaella Fico
mrembo mwanamitindo wa Italia mwenye umri wa miaka 24, anategemea kupata mtoto
na Mchezaji wa Timu ya taifa ya italia na Manchester city Mario Balotelli “super
Mario”, Raffaella ametoa taarifa kuwa amegundua ni mja mzito mwezi wa tano mara
baada ya penzi la wawili hao kuvunjika mara baada ya kumtuhumu balotelli kuwa
na wapenzi wengi. Raffaella aliwahi na mahusiano na Mchezaji Cristiano Ronaldo
Raffaella amewaambia
waandishi wa habari kuwa Mario amekuwa excited na habari za kuwa baba na inawezekana
wakabatana for the sake of their child
No comments:
Post a Comment