Monday, July 9, 2012
MPAMBANO WA WEMA SEPETU V/S JACKLINE WOLPER KATIKA PICHA
wema akiwa anavuliwa jacket la trucksuit tayari kwa mpambano
Anajiandaa kutupa konde la kulia na Jackline anamwangalia kwa makini
Wema mbio ndani ya ulingo Jackline akimfuata kwa makini
BOFYA CHINI UPATE PICHA ZAIDI
Duh kumbe mpambano mwisho droo
Washikaji hao wanasepa wameshakunja mkwanja wao....
1 comment:
Anonymous
July 9, 2012 at 3:10 PM
hahahhahha!! Wema kanichekesha balaa!! sasa mbona anakimbia? alizidiwa?
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
‹
›
Home
View web version
hahahhahha!! Wema kanichekesha balaa!! sasa mbona anakimbia? alizidiwa?
ReplyDelete