Monday, August 20, 2012
WAZAZI, HBHB WAKO SERENA EID HII
Eid Pili hiyo, haya wazazi kama bado mnajisikia kutoka na watoto wenu basi msisahau kukatiza Serena Hotel kwa HBHB wako hapo tangu jana kuwaletea michezo mbali mbali ya watoto pamoja na zawadi kwa watoto. Msiwabanie watoto.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment