Friday, November 25, 2011

MAFANIKIO YA WANASOKA WA NIGERIA….NWANKO KANU HARDELEY APARTMENTS.VI


Si ajabu ukiwa katika miji ya afrika magharibi kukutana na vijana wakiwa wanajitolea kwa moyo wao wote kujituma katika mazoezi ili kuwa na lengo moja tuu, kufanikiwa kucheza ligi kubwa za ulaya ili kubadili maisha haswa pale wanapowaona role models ambao wamefanya mambo makubwa kwa taifa lao na uchumi wao binafsi, Nwanko Kanu baada kufanikiwa sana katika soka ameendelea kuwekeza katika apartments/hotel huko kwao Nigeria, Lagos state.  Mjengo huo unaokwenda kwa jina la Hardley Apartments unazo luxury suites mpaka night club.
Kutokuwepo kwa role models hapa Kwetu haswa kwenye michezo kunasababisha vijana watu kufikiria kuchezea simba na yanga tuu, zaidi sana kupata ka korola…….we have a long way to go.
Pent House

Sitting Room
    
Hii ni address kamili kwa wale wenye pesa zao kama watapendelea kutembelea Nigeria na kula maraha,
THE HARDLEY APARTMENTS
PLOT 46, WAZIRI IBRAHIM CRESCENT
OFF ELSIE FEMI PEARSE
VICTORIA ISLAND
LAGOS STATE.
NIGERIA.
TEL: +234 1-4610883-4, +234-8025015516-7, FAX: 01-4610882

E-MAIL: info@hardleysuites.com, thehardleyapartments.com
SITE:
 hardleysuites.com
                                   

No comments:

Post a Comment