Sunday, October 14, 2012

BillBoard Magazine names Rihanna as a No.1 pop star of the decade

 


















Billboard ranked the hottest 100 pop stars of the decade based on sales, and Rihanna came out on top. She has the most chart appearances (34), the most top 10s (21) and the most no. 1 hits (9).

See the top 10 below...
1. Rihanna
2. Pink
3. Britney Spears
4. Kelly Clarkson
5. Mariah Carey
6. Katy Perry
7. Usher
8. The Black Eyed Peas
9. Janet Jackson
10. Madonna



Here is 11-20.


11. Lady Gaga
12. Christina Aguilera
13. Justin Timberlake
14. NickelBack
15. Match box twenty
16. Beyonce
17. Backstreet Boys
18. Jennifer Lopez
19. Maroon 5
20. Avril Lavigne






Friday, October 12, 2012

Waislamu wazua kitimtim Mbagala Kizuiani muda huu



HAPA NINAPOANDIKA HIVI NI KUWA MABOMU YA MACHOZI YANARINDIMA HUKO MBAGARA KIZUIANI ILI KUWASAMBARATISHA WAISLAMU AMBAO WAMEANDAMAMNA NA KUKIZUNGUKA KITUO CHA POLISI WAKITAKA KITUO HICHO KIMUACHIE KIJANA WA FORM ONE AMBAYE AMEKOJOLEA KITABU KITUKUFU CHA DINI HIYO YAANI MSAHAFU.

INASEMEKENA KIJANA HUYO ALIAMUA KUFANYA HIVYO BAADA YA KUTOKEA MABISHANO KATI YA YEYE NA MWENZIE KUWA UKIKOJOLEA KITABU HICHO UTAKUWA MWENDAWAZIMU LAKINI YEYE ALIPINGA NA KUAMUA KUKUKOJLEA MSAHAFU AHAKIKISHE KAMA NI KWELI ATAKUWA MWENDAWAZIMU AMA TOFAUTI. BAADA YA KUUKPJOLEA MSAHAFU HUYO KIJANA ALIYEKUWA NAE ILIBIDI AWAFAHAMISHE WAISLAMU JUU YA KITENDO ALICHOFANYA MWENZAKE.

JAMANI HAYA MAMBO YA IMANI NI MAGUMU MNO, SASA BASI KWANINI KILA MMOJA ASIAMINI TU ANACHOKITAKA BILA KUKASHIFU CHA MWENZIO. MFANO TU PALE MWENGE KITUONI SIKU HIZI WAMEANZISHA MIJADALA YA DINI YA KIISLAMU NA WAKIRISTO KILA UPANDE UKITOA AYA ZA KITABU CHAKE NA UPANDE MWINGINE UNAZUNGUMZA INACHOKIJUA JUU YA AYA HIZO. MAMBO HAYA YASIPOKATAZWA MAPEMA IKO SIKU PALE MWENGE WATU WATAPIGANA MIKWAJU NA MAJAMBIA.

Wednesday, October 10, 2012

Kesi ya Rama mla watu yendelea - apelekwa Mirembe

Kijana Ramadhani kulia akiwa na mama yake hapo katikati wote wakiwa chini ya ulinzi mahakamani
Mnamkumbuka huyu dogo Rama? ndio yulee alikamatwa kwenye geti la chuo kikuu cha muhimbili akiwa na kichwa cha mtoto mdogo wa miaka mitatu. msome zaidi hapa chini.



KIJANA aliyewahi kupata umaarufu mkubwa nchini kwa jina la Rama ‘mla watu’, Ramadhan Seleman anayetuhumiwa kwa kosa la mauaji baada ya kukutwa na kichwa cha mtoto, Salome Yohana (3) mwaka 2008, amepelekwa Hospitali ya  Mirembe mkoani Dodoma, kupimwa akili.

Habari kutoka Gereza la Segerea jijini Dar es Salaam zinasema kuwa mtuhumiwa huyo amepelekwa Mirembe ili kufanyiwa uchunguzi wa akili yake.

Akizungumza na gazeti hili kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, afisa mmoja wa Jeshi la Magereza Kanda ya Dar es Salaam amesema wamelazimika kumpeleka Rama katika hospitali hiyo ya akili kutokana na vituko vyake.  
soma zaidi ....

Mnaionaje miundombinu ya jirani zetu?

Thika Highway -  Kenya
Tukubali tukatae jirani zetu hapo karibu na Mlima Kilimanjaro wanatuacha kwa kasi katika mambo mengi tu. Nikianglia pich ahiyo hapo juu ni moja ya barabara zao kubwa ambazo zimejengwa hivi karibuni. Hivi na sisi itawezekana kufika huku? hasa maeneo ya Bagamoyo road, Morogoro road, Pugu road, Kilwa Road... najua tukifika huku tatizo la foleni kwetu itakuwa hadithi za kale. ila sasa wananchi watakubali wavunjiwe majumba yao kupisha upanuzi wa barabara zetu? au ndio tutaandamana na kulala barabarani na kulaumu Mawaziri husika au serikali?

Hii ni ya pepmbeni tu, umesikia jana Raisi wao kagomea ongezeko la posho kwa wabunge wao? hay ana tusubiri kura za wabunge nazo zitasemaje maana nao wana nguvu sana....

RIPOTI YA KIFO CHA MWANGOSI YATOKA

picha na jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi marehemu Mwangosi aliyeuwawa mwezi uliopita huko Iringa.
Serikali iliunda Tume ya kuchunguza mauaji hayo na kw aupand ewa pili chama cha Waandishi wa Habari nao waliunda nao Tume yao kuchunguza kifo cha mwandishi huyo. Ripoti za uchunguzi huo kwa pande zot embili zimetolewa jana na kuzisoma zaidi gonga hii link  hapa.. Ripoti za uchunguzi wa kifo cha Mwangosi kutoka MCT na TEC

Tuesday, October 9, 2012

Haya ni mambo ya fedha au Carolite/Obagi?

Mwanamama Mfanyabiashara Imaan na ambaye pia aliwahi kuwa model maarafu duniani kipindi cha ujana wake. Hapo anaonekana katika picha mbili tofauti. nadhani picha inajieleza yenyewe.

Kazi nzuri mama Tibaijuka


Mh. Prof. Anna Tibaijuka mchana huu alipata nafasi ya hutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Posta Duniani - 25th UPU Congress - amezungumza kama Balozi Maalum wa UPU wa kuhamasisha kuhusu umuhimu wa anwani za makazi duniani.

Mhh haya majina mengine ya shule ni kiboko

Nimefurahishwa tu na hili jina la shule. Sasa sijui hata product inayotoka hapo itakuwa ni tofauti au inafanana na jina lenyewe la shule. I am just curious..

Kila la Heri Jessica... penye nia pana njia

Jessica akiendelea kufanya mitihani yake y aform Four akiwa wodini huku wasimamizi wakiwa pembeni yake.

Jessica akiendelea na mitihani yake kutokea wodini

MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Sekondari ya Alfa Germ, Morogoro, Jessica Kiliani (17), amelazimika kufanya mtihani wake wa kuhitimu elimu  hiyo akiwa wodini baada ya kufanyiwa upasuaji.

Hatua hiyo ilifikiwa baada ya mwanafunzi huyo, kuomba aruhusiwe kufanya mtihani huo licha ya kuwa  wodini akiugulia maumivu ya upasuaji aliofanyiwa na madaktari wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa zaidi ya saa mbili na kulazwa katika wodi ya wazazi namba 7B.

Monday, October 8, 2012

KUTOKA NBC...

MANAGING DIRECTOR NBC - MR. LAWRENCE MAFURU
NBC Managing Director, Lawrence Mafuru addressing members of the press in his Office today.


PRESS RELEASE

Dar es Salaam October 8, 2012.

On 19th July 2012, the Board of Directors of the National Bank of Commerce announced that Mr Lawrence Mafuru, the Managing Director of National Bank of Commerce had been requested and accepted to go on leave in order to allow investigations into irregularities allegedly perpetrated at the Bank.

The allegations which originated from a whistleblower

report raised issues around irregular governance practices, fraud and corruption against the NBC Executive Management team. Driven by the values of the Bank and need to maintain high standards of good corporate governance the Board of Directors of National Bank of Commerce initiated thorough investigations into all the issues raised by the whistleblower with a view of establishing the validity of the allegations for appropriate actions to be taken.

Speaking about the investigation, the Chairman of the NBC Board of Directors Dr Mussa Juma Assad said, I am pleased to say that the Board has resolved appropriately all the matters arising out of the investigation and that Mr Mafuru will be returning to work immediately.’’

Dr Assad further said that, “it was a necessary process for all the stakeholders in our business, be they customers, employees, shareholders, regulators and the public at large, that a thorough investigation take place to ensure that our executive management is indeed running the bank in accordance with the best corporate governance processes.’’

Mr Mafuru, who has returned to work after a two month leave said, ‘’I am very happy that we have reached this point. As I pointed out previously, after investigations, our customers, employees, shareholders, regulators and the public will have a lot more confidence in NBC. Although this was a difficult period of my career, I remain very positive that this process was necessary for the interest of an organisation that embraces good governance practices. We will put all this behind us now and focus on what we do best and that is serving our customers through our conveniently placed delivery channels across the country.’’

BOARD OF DIRECTORS NATIONAL BANK OF COMMERCE

Saturday, October 6, 2012

Msanii kutoka Marekani Rick Ross atua Dar

Rick Ross akitoa salute kwa mashabiki waliofika kumpokea. yupo nchini kwa onyesho la Fiesta leo

Rick Ross (jitu la miraba minne) akiongea machache baada ya kutua nchini

Baada ya kuachana na demu wake Chris Brown video kuelezea juu anavyowapenda wanawake wawili kwa wakati mmoja


24 hours after announcing his break up with girlfriend of almost two years, Karrueche Tran, Chris Brown has released a video where he details his current dilemma of being in love with two women. What he said in the video below..
I’m a little drunk so I’m gonna be honest. See, y’all don’t really get the real Chris Brown but I’m gonna be honest. I’m stressed out. It’s not about the music cause I love my fans. It’s just, when you share history with somebody, and then you tend to fall in love with somebody else, it’s kind of difficult.
Is there such thing as loving two people?  I don’t know if that’s possible but for me, I feel like that. Y’all probably like, ‘What the f-ck is he talking about right now’ but I am being real. I don’t want to hurt either or.  I’m not trying to be a player, or a dog, not none of that. My mother raised me differently, so I just can’t. I don’t know man, a n-gga be stressing. That’s what n-ggas do. The life of Chris Brown

Kwa wale waliokuwa hawajui bado, Chris Brown na Girlfriend wake wa miaka 2 wameachana wiki hii baada ya girlfriend huyo kushindwa kuvumilia 'urafiki' wa Chris Brown na ex girlfriend wake Rihanna. 
Rihanna kushoto, kati Chris Brown na kulia ni Karrueche

Chris Brown walionekana pamoja kwenye concert ya Jay-Z siku hiyo hiyo aliyoachana na Karrueche kama wanavyoonekana kwa nyuma kwenye hiyo picha.
 Na chini ni Tweets za Chris Brown na Karrueche zinazothibitisha kauchana kwao