Monday, May 7, 2012

TASWIRA ZA JANA UWANJA WA TAIFA

 Mashabiki wa yanga wanaonyeshana score board kama inavyoonekana kwa chini, Loh kipigo ambacho hakielezeki what is next au tutegemee bakora jangwani kama ilivyozoeleka?

Yap mchumu mchumu tena mwah mwah.... raha ya kombe shurti unaanza na busu zito, Juma kaseja mara baada ya kupokea kombe la ubigwa wa bara

No comments:

Post a Comment