Monday, July 9, 2012

MPAMBANO WA WEMA SEPETU V/S JACKLINE WOLPER KATIKA PICHA

 wema akiwa anavuliwa jacket la trucksuit tayari kwa mpambano
 Anajiandaa kutupa konde  la kulia na Jackline anamwangalia kwa makini
Wema mbio ndani ya ulingo Jackline akimfuata kwa makini BOFYA CHINI UPATE PICHA ZAIDI
 Duh kumbe mpambano mwisho droo
 Washikaji hao wanasepa wameshakunja mkwanja wao....

                                        

1 comment:

  1. hahahhahha!! Wema kanichekesha balaa!! sasa mbona anakimbia? alizidiwa?

    ReplyDelete