Tuesday, August 21, 2012

Dr. Kafumu avuliwa ubunge Igunga

Aliyekuwa Mbunge wa Igunga

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora IMEMVUA Ubunge Dr. Daly Peter Kafumu(CCM)baada ya kumtia hatiani kutumia mali za serikali na kutumia Mawaziri hasa Dr Magufuli wanaolipwa na kodi za wananchi wa vyama tofaauti kwenye kampeni zake!
Dr. Kafumu alikuwa mbunge wa tatu kwa jimbo la Igunga baada ya kung’atuka wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Bwana Rostam Aziz.

Kwasasa Jimbo la Igunga liko wazi.

1 comment:

  1. Duuh sasa hapa tena ndio tujiandae pesa za walipa kodi kutumika tena? au si wachague the 1st runner up jamani?

    ReplyDelete