Wednesday, October 19, 2011

STAR COCO CLUB

Mapacha watatu
Leo 19/10 Hii kama kawaida Ya Jumanne Zote Mapacha Watatu, Chini ya Khalid Chokoraa, Jose Mara na Kalala Jr, watakuwepo kutumbuiza mwanzo mwisho
Kesho 20/10  Banana Zorro na B band watakuwepo kukupatia Ladha Tofauti ya Muziki kama kawaida…….Star COCo Club, the Only Club ndani ya ufukwe wa Bahari, Inapatikana Coco Beach.

No comments:

Post a Comment