Monday, November 21, 2011

KIPINDI CHA OPRAH WINFREY KUREJEA RASMI, JAN 2012.


Katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja tangu kutangaza kujiondoa katika kutayarisha na kuendesha kipindi  chake cha Television cha Oprah Winfrey show, Hatimaye mwanamama huyo gwiji katika anga za vipindi vya televishion ameamua kurejea tena safari hii akiwa na kipindi anachokiita – Oprah next chapter-
Kipindi hicho kitakuwa kikirushwa na Kituo chake binafsi cha television OWN kuanzia januari mwakani , Kipindi hicho kitahusu zaidi mazungumzo na celebrities ambayo yatakuwa yanarekediwa majumbani mwao,
Oprah's statement about her new show below...
After 25 years I got myself out of the studio chairs. I moved into the next chapter, and I am having more fun than ever - moving around the country and the world talking to people I'm really interested in getting to know and I think viewers will be, too,' she said.

1 comment: