Tuesday, November 22, 2011

SHOW YA JLO NA PITBULL AMERICAN MUSIC AWARDS 2011

Jennifer Lopez, Mwanamama mwenye miaka 42, aliwaacha hoi mashabiki na wapenzi wa muziki duniani pale alipo kuwa on stage week end iliyopita katika tamasha la AMA ( American Music Awards) wakati alipokuwa akifanya show maalumu na Rapper Pitbull, Jlo alitumia muda wake wote wa show hiyo ambayo alipiga viwalo vya kuhamasisha kwa kuchezesha makalio yake sehemu nyeti za Pitbull, Kwa haraka haraka Pitbull alionekana kufurahishwa sana na mchezo huo, angalia picha kwa karibu 

 

1 comment:

  1. Pitbul kadindisha, siyo mchezo JLO anadatisha. Mzee mzima marc Anthony lazima tafute namna wayamalize tu

    ReplyDelete