Tuesday, December 6, 2011

BAADA YA UKAME WA MIAKA MIWILI TIGER WOODS ASHINDA.

Baada ya kucheza miaka miwili mfululizo huku akiwa ameshiriki zaidi ya mashindano 26, mkali wa Mchezo wa Golf Tiger Woods ameshinda shindano lake la kwanza baada ya kushinda shindano la Chevron world Challenge huko Califonia siku ya juma pili ya tarehe 4th, Tiger alishinda mara ya mwisho shindano la Australian Masters November 2009

No comments:

Post a Comment