Friday, December 2, 2011

R.I.P ABEL MOTIKA (MR. EBBO)


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii mwenye asili ya kimasai na aliyependa daima kudumisha mila za kabila lake bwana Abel Loshila Motika a.k.a Mr. Ebbo ameaga dunia alfajiri ya leo huko kwao Arusha maeneo ya Kimandolu, Usa river.  Mr Ebbo alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda kiasi.  Uongozi wa Darbase unatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na wapenzi wote wa muziki hapa nchini.  Daima tutakukumbuka hasa kwa zile nyimbo zako za ‘mimi mmasai bwana” na “Kamongo”
Tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi,
RIP bro! AMEN

2 comments:

  1. Ohhh nooh! is it? poleni wafiwa, poleni WaTanzania, poleni wadau wa muziki bila kusahau wamasai wote

    ReplyDelete