Friday, January 13, 2012

MKE WA ZAMANI WA TIGER WOODS AFANYA KUFURU

Elin Nordegren mke wa zamani wa Tiger alinunua jumba la thamani ya dola million 12, North palm beach Fla, mwezi machi 2011, kama linavyoonekana katika picha juu.
                     
Jumba hilo kwa sasa ni kifusi kamaunavyoona hapo juu, hakuna taarifa kamili Elin anataka kujenga nini katika ardhi hiyo, Elin alilipwa Dola million 100 na Tiger woods  mara baada ya kutalikiana haishangazi jinsi anavyozitumia sababu hakuzitolea jasho……

No comments:

Post a Comment