| Bondia Rashid Matumla (kushoto) akimpa mawaidha mwanae wa kwanza Mohamed Matumla wakati wa mpambano wake na Cosmas Cheka kulia ni Mbwana Matumla akimkandakanda |
| Mohamed Matumla wakionyesha ufundi wa kurusha masumbwi baada ya Mawaidha kutoka kwa baba yake dhidi ya bondia Cosmas Cheka wakati wa mchezo wao uliofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana. |
| Bondia Mohamedi Matumla akishangilia ushindi baada ya kutangazwa bingwa kwa kumchapa Bondia mwenzake Cosmas Cheka, Matumla alishinda kwa pointi |
No comments:
Post a Comment