Friday, March 2, 2012

Mkurugenzi Mtendaji NBC, Lawrence Mafuru akutana na Wahariri

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akisalimiana na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akitoa akizungumza na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) akisalimiana na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.

Wadau wa kutoka NBC wakipozi kwa picha mara baada ya kumaliza kazi yao katika hafla ya mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo na waharir wa vyombo vya habari jana
Mmoja wa wahariri kutoka Gazeti la Daily News, Masato Masato akiuliza swali katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani) kwa wahariri wakuu na wa habari za biashara na uchumi katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment