Monday, January 23, 2012

Mzee Yusufu ndani ya New York....vidole juu

Mashabiki waliokuja kulambishwa wakichenguka na huku wakimtunza Mzee Yusuf aliyekonga nyoyo zao kwa show iliyofana iliyofanyikia Mont Vernon, New York, Nchini Marekani.Juu na chini mashabiki wa New York na Vitongoji vya jirani wakiendelea kulambishwa na Mzee Yusuf.
Vidole Juu Vidole juuuuu
 

aramba aramba amu amu ..............

No comments:

Post a Comment