Thursday, February 2, 2012

Kama ni kweli haya yanatokea Tanzania, inauma sana

Hizi ni picha ambazo nimetumiwa kuhusu baadhi ya ndugu zetu wanavyosafirisha miili ya wapendwa wao kutoka sehemu moja kwenda kwingine, na yote inachangiwa na hali ya umasikini wa kupitiliza. Kwa kweli inaumiza.

nimeambiwa hii imetokea Mbeya - angalia maiti ilivyofungwa na mipira kwenye bodaboda!! 


Hii nayo nimeambiwa imetokea huko Bukoba - mhhh imagine mpendwa wako ndio huyo aliyelala hapo!!!

No comments:

Post a Comment