Tuesday, February 28, 2012

Allan Lucky wa SKONGA, EATV aukacha ukapera

 Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha East Africa TV, Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akiwa na Mkewee Haika Samweli mara baada ya kuungana (kufunga ndoa) kuwa mwili mmoja katika hafla ya ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.

Allan Lucky Komba akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Best man wa Bw. Harusi,Banana Zorro na kulia ni Mkewe  Allan Lucky,Bi. Haika Samweli. I like hair style ya bwana harusi and Best man

Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
  Allan Lucky Komba na Mkewe Haika Samweli wakipokea vyeti vya ndoa toka kwa afisa wa Serikali.

No comments:

Post a Comment