Sunday, February 12, 2012

OMG, WHITNEY HOUSTON AFARIKI DUNIA.......drug overdose,suicide suspected

Whitney Houston, mwanamuziki na mwigizaji Maarufu nchini marekani amefariki dunia leo alfajiri, taarifa ambazo zimethibitishwa na polisi zinaeleza kuwa Whitney ameyakuta mauti katika chumba cha hotel, Taarifa za awali zinaeleza kuwa Kuzidisha dozi ya madawa ya kulevya au kujiua yaweza kuwa sababu ya kifo chake, RIP Whitney we will always love U,

No comments:

Post a Comment