Thursday, March 22, 2012

MARTINI KADINDA........... AZIDI KUNG'ARA NA VIKOTI DESIGN

Martin Kadinda, wa pili kulia yeye ndio haswaa anayesababisha mambo haya ya kuwapendezesha vijana mjini. kwa muonekano kama huu mzukie jamaa kwenye kijiwe chake www.mvutokwanza.blogspot.com

Msanii Diamond akiwa na kikoti chake cha single button.. he is looking good

Woow!! The Former Miss Tanzania Wema Sepetu rocks hers as well. Thanks Martin for bringing  single button Jackets for women ... kina dada kazi kwenu ila halahala vitambi jamani hapa sio mahali pake...



Msanii Ommy Dimples akiwa ametinga chake hapa ambacho Martin amekinakshi kwa kanga/kitenge

No comments:

Post a Comment