Wednesday, April 11, 2012

MAZISHI YA KANUMBA , WENGI WALIPOTEZA FAHAMU



Hii ilikuwa ni hali ya kawaida kutoka hapo jana ambapo kutokana na majonzi, wingi wa watu na joto la Dar Es Salaam wakinamama wengi walipoteza fahamu na kuwafanya watu wa huduma ya kwanza kuwa na kazi ya ziada kwa picha Zaidi bonyeza hapa chini




Picha zote kwa hisani  ya Global Publishers

No comments:

Post a Comment