Wednesday, April 11, 2012

MAZISHI YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA, SISI TULIKUPENDA LAKINI MUNGA ALIKUPENDA ZAIDI



Mama Yake Marehemu Steven Kanumba akimwaga mwanae kabla ya mazishi
   Buriani Steve Kanumba sisi tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi, safari ya mwisho ya Marehemu Steven Kanumba katika makaburi ya Kinondoni, Steven alipata mazishi ambayo katika nchi yetu ni Mwalimu Nyerere tuu aliyapata, Tutakukumbuka daima    Picha zaidi Bofya hapa chini




                                          
Tangulia katika haki,  Marehemu Steven Kanumba
                                             

1 comment:

  1. R.I.P Kanumba. ni kweli ulipendwa na ukapendeka... wew ni nyota uliyezimika kama mshumaa!!

    ReplyDelete