Tuesday, April 24, 2012

UCHEZAJI HUUU

mashabiki wa Taarabu wanaonekana wakisakata taarabu hapa mjini Dar Es Salaam week end iliyopita, naambiwa ndio taarabu ya kisasa hiyo,,,,,, mi wa bara sidhani kama maadili yanazingatiwa

No comments:

Post a Comment