Wednesday, May 23, 2012

BIG BROTHER STAGAME 2012 UPDATES JESSICA ALIWA URODA LIVE, PICHA NA VIDEO BOFYA HAPA.


Big Brother Africa Stargame Housemates Luke toka Liberia and Jessica wa  Namibia wamekuwa wakwanza kula uroda katika jumba hilo mara baada ya kamera za big kuwabamba live wakivunja amri ya sita ya mungu, na hivyo basi kuvunja rekodi ya kuwa house mate wa kwanza kulana uroda ndani ya jumba hilo kwa mwaka huu, The shagging ilitokea masaa kadhaa kabla ya Luke kutolewa ndani ya jumba akiwa miongoni wa House mate watatu waliotolewa siku ya jumapili  pole kwa Jessica na upweke utakaobaki nao kwa live video  ya uroda huo wa Jessica na  Luke BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment