Tuesday, May 1, 2012

SAFARI YA CAPTAIN NASIB ABDUL...AKA DIAMOND PLATNUM

Captain In a mission, Akiwa anaelekea kwenye chopa itakayompeleka uwanja wa mapambano
Salut, Captain Nassib akipiga salut Tayari kwa Safari uwanja wa Mapambano
Ndani ya Chopa akiwa anafanya mawasiliano, Kikosi chake kimesha Tangulia anasubiriwa yeye kuongoza Mashambulizi
Captain Nassib akiwa anaongoza Chopa kutua Maeneo ya Mbagala Dar es Salaam



 
Chopa Inaondoka na Captain Nassib anatoa Salut ya Mwisho kwa Rubani Mwenzakebaada ya kutua Salama na kuweka Rekodi kuwa msanii wa kwanza Tanzania Kutua kwa Chopa akiwa anaelekea kwenye show yake iliyofanyika Dar Live jumapili iliyopita
Mashambulizi Dar Alive ikiwa Imefurika
                Diamond anaonyesha njia, Kudos kwa timu inayomzunguka they are doing their home work on hyping the guy and the theme of Chopa was perfectly done with the attire Congrats Captain Nassib and your team.

No comments:

Post a Comment