Thursday, June 7, 2012

Linda Bezuidenhout(LB) Fashion Statement.Kivazi cha Ukweli


Linda Bezuidenhout (LB)mwanamitindo wa Kitanzania aliyepo Nchini marekani, aliibuka na Kivazi Cha Nguvu katika  ya tawi la Chadema Washington DC wakati alipochukua kadi na kujiunga rasmi na chama hicho, Pendekezo langu nahisi kama vile kivazi hicho chadema wangeki adapt kwa ajili ya wanachama wao wa kike, Good stuff.

No comments:

Post a Comment