Saturday, June 2, 2012

P-SQUARE WANGIA MKATABA MPYA NA UNIVERSAL MUSIC, SOUTH AFRICA



Wale wakali toka Nigeria P-Square wameingia deal mpya na kampuni kubwa ya usambazaji wa kazi za muziki duniani  Universal Music, Kwa Mkataba huo Universal watasimamia na kusambaza kazi zote za P-square, hii itakusu CD zote za sasa na za zamani na pia any digital productions, Kazi ipo jamaa wanakimbiza

No comments:

Post a Comment