Saturday, April 7, 2012

MORE REACTION PICTURES FROM STEVEN KANUMBA DEATH

Umati wa Wananchi ukiwa hauamini kinachoendelea
Tito Rafiki Mkubwa wa Kanumba ambaye aliupeleka mwili wa Marehemu Hospitali ya Muhimbili akiwa katika Majonzi makubwa
Kijana Shabiki wa Steve Kanumba akiwa amepoteza Fahamu mara baada ya kupata Taarifa za Msiba, Bonyeza hapo chini kwa picha zaidi
                                           

Majonzi Makubwa kwa Bloger na rafiki kipenzi wa Steve Dj choka akiomboleza

Maskini Johari Machozi yakimtoka alishndwa Kujizuia


Steve Nyerere akiwa haamini kinachoendelea

Ray the Great, swahiba na Nguli wa Filamu akiwa katika hisia kali

Shilole, akisaidiwa eneo la Msibani

Wadau wa Filamu wakitafakari kuhusu kilichotokea
,
 Picha zote Kwa Hisani ya Dj Choka, NI msiba mkubwa kwa watanzania na wapenzi wote wa filamu za Kiswahili

4 comments:

  1. Much have already been said on him. RIP The great

    ReplyDelete
  2. rest in peace kanumba we will always remember you as bongo legend,will miss u big time

    ReplyDelete
  3. We have lost a motivated and mission oriented guy... May his soul rest in peace! Life is Journey...

    ReplyDelete
  4. The death of the Great Kanumba leaves us a message.." life is a journey' A lot has been speculated but remember.."Contradiction is not a sign of falsity, nor the lack of contradiction a sign of truth"-Blaise Pascal.May his Soul Rest in Peace.

    ReplyDelete