Tuesday, July 10, 2012

Muigizaji na muongoza filamu Nguli kutoka Hollywood nchini Marekani, Mario van Peebles awasili jijini dar leo.

 Muigizaji na muongoza filamu Nguli kutoka Hollywood nchini Marekani, Mario van Peebles amewasili nchini kuhudhuria Tamasha la filamu Zanzibar, ZIFF na pia kuzindua filamu yake mpya inayojulikana kwa jina la We The Party katika ukumbi wa Century Cinema, Mlimani City Jijini dar, hapa akilakiwa na waandaaji katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini


Mario van Peebles akiwa katika pozi na mwenyeji wake, Ibrahim Mitawi kutoka ZIFF
Mario van Peebles akiwa na mtoto wake aitwaye Mandela Mario van Peebles aliyeigiza filamu ya  We The Party ambayo wanatarajia kuizindua kwa kishindo katika ukumbi wa Century Cinema, Mlimani City Jijini dar julai 13 kuanzia mnamo majira ya saa moja usiku.Nyota huyo Mario van Peebles amekwishaigiza filamu kadhaa ikiwemo All things Fall Apart,New Jack City,Baadasss,Redemtion Road na nyinginezo.
                                        

No comments:

Post a Comment