Tuesday, July 10, 2012

Big up to our local designers - Vitenge designs

Bi Harusi mtarajiwa Jacky akiwa na mpambe wake. hizi nguo zote zimekuwa designed hapa hapa bongo

Close-up ya designs zao kwa juu

Nimeupenda mkia wa hiyo nguo

Hiyo Kola is a woow! the plits bottom is a plus
Fashionable...

Lace nazo zilikuwepo.. love the colour comboWoow! I just love the blaizerClassy.. cocktail party inahusika

Peplum design ilihusika kwenye kitenge na ilipendeza.. Mambo ya kina Victoria Beckaham haya


Decent one.. hata kiofisi inahusika pia

Kwa waliojaaliwa tu...

Hii funga ndio funga kaziiii

No comments:

Post a Comment