![]() |
| The Bongo Flava Diva - Lady Jaydee |
![]() |
| Lady Jaydee na mumewe Gadner siku ya ndoa yao - haya pia ni mafanikio maana asio kila mtu anapitia huku |
![]() |
| Nyumba anayomiliki lady Jaydee |
| Machozi Band, ni band anayomiliki Diva huyo kutoka Bongo |
![]() |
| Mgahawa wa Nyumbani Lounge unaomilikiwa na Lady jaydee |
![]() |
| Nyumbani Lounge |
![]() |
| Moja kati ya gari zake za kutembelea |
![]() |
| Hii ni gari anayoimiliki kwa ajili ya bendi matumizi ya bendi yake |
![]() |
| Jaydee na mumewe Gadner, katika sherehe ya kuzaliwa Mwanamuziki huyo |
![]() |
| Lady Jaydee akiwa amepozi nyumbani kwake, na huku nyuma zikionekana Tuzo zake mbali mbali alizowahi kushinda kutokana na muziki wake. |









No comments:
Post a Comment