Wednesday, September 26, 2012

Earning from the Mic... P -SQUARE

Nigerian Musicians - Peter and Paul Okoye - famous as PSQUARE
I must admit, it is admirable that even with their current success level (signing with Akron’s Konvict label), the tattooed, six pack duo still maintain their African authenticity by singing in their native language and Pidgin English, this fact is noteable in their recent collaborations with Akon and Rick Ross, nothing has changed with the exception of featuring mega stars.

If for some reason you have not been following the Psquare invasion take over, here is a run down. At the beginning of the year they were signed to Akon's Konvict record label, a couple of month later they reportedly bought a Jet, and recently it was reported that the talented twosome inked a distribution deal with Universal Music Group, South Africa. Universal Music Group is the parent company of Akon’s Konvict Musik and Kon Live Distribution labels, and it is one of the four biggest record labels in the world.
P Square duo is now the leading paid Musician in Africa, they are demanding $80,000 to $100,000 per show. They have a big Mansion own N300 Million; cars like A BMW X6, two Range Rover Sports, Lamborghini and a Jaguar. They do also own Two multi – million Naira Factories in Jos. Hey, they are both single but Peter is having a longtime girlfriend and also his baby mama of 4yrs old son Cameron and expecting another soon.
With American based musician - Akon. Akon is a brother from Senegal

With American Musician - Rick Ross

P Squares old house - it is now rented

SQUAREVILLE woth N300 million. ndio jumba lao jipya wanalokaa kwa sasa

Ndani ya mansion yao

Mansion kwa ndani - in the rooms

The pool side

Car no 1. Lamborghini

Car no. 2 - it s called Mr. P

Car no. 3 - Mercedes Benz - they named it Rude Boy

Another Ranger Rover for theboys

The Jet - everybody thinks ni yao kumbe ni wamekabidhiwa free kuitumia wakati wowote wanapokuwa wanaihitaji na shirika moja la ndege huko kwao

The new Kia Soul waliyompa kaka yao mkubwa kama zawadi ya harusi yake

Living room

Peter Okoye with a girl friend

UNYAMA.... Baba achinja wanae watano Kenya, nae ajiua

Hawa ndio watoto wa kiume waliouliwa juzi na baba yao mzani Kenya
Hili tukio la kusikitisha limetokea jusi nchini Kenya baada ya baba kuamua kuwaua watoto wake wa kiume watano wenye umri wa miaka 2 mpaka 10 na kisha yeye kujiua. Aliamua kufanya hivyo baada ya kutokea ugomvi kati ya yeye na mke wake na mama huyo kuamua kutoroka usiku huo na aliporudi asubuhi kushuhudia asiyotarajia. Sasa hiki sijui ni kichaa au ni mapenzi kwa wanae ili wasije kupata shida baada ya yeye kujiua ama ni nini? Anyways soma habari hii kwa kirefu hapo chini.......


A crazed farmer went berserk and slaughtered his five sons before committing suicide in Kuresoi District yesterday. John Kirui murdered the hapless and innocent children aged two, five, twins aged nine and another aged 10 at Chesirikwa in Nyota location. The 45-year-old father slit the necks of each of his sons as his terrified wife Betty watched before she ran away for her life.

Friday, September 21, 2012

siku wema alipomwaga razi, amjibu anti ezekiel.

 baada ya msanii wa filamu anti Ezekiel kusaula mbele ya washabiki wa Fiesta huko Moshi ilikuwa ni Zamu ya Msanii Mwingine wa Bongo Movie Wema Sepetu ambaye naye aliamua kuonyesha nyeti zake mbele ya washabiki wa Fiesta huko Morogoro, Hii ni aibu na wanaishushia hadhi fani hii ya bongo Movie  bofya hapa chini uone picha ya wema ikionyesha nyeti zake.....

Thursday, September 20, 2012

Celebrites wa kike waamua kuuweka usista duu pembeni

A Pop Star singer, Shakira 35 and her Footballer boyfriend Prique
Colombian pop star Shakira, 35, confirmed yesterday Wednesday September 19th that she and her Spanish football player boyfriend, Gerard Pique, 25, are expecting their first child 
"As some of you may know, Gerard and I are very happy awaiting the arrival of our first baby!" Shakira said in a statement on her website. "At this time, we have decided to give priority to this unique moment in our lives and postpone all the promotional activities planned over the next few days."
Amber Rose, showing off her baby bump on the picture posted recently on her Instagram profile. nae ni ujauzito wa Fiance wake Wizy Khalifa
Hongereni wadada kwa hatua ya kukubali maneno matakatifu ya ..'nendeni na mkaijaze dunia'
Pia tunawaombea na wale wote ambao wanatamani na bado hawajajaaliwa Mungu pia asikilize maombi yao

Photo 2 of the day... ni raha tuu

Wachezaji wa SSC jana hiyo wakiwa na raha tele na huku wakimpongeza mchezaji mwenzao kwa kupachika goli.

Uwanja wa Taifa nako jana Mnyama aka Simba Sports club waliwapa raha mashabiki wao baada y aKumfunga JKT Ruvu 2-0. Magoli hayo yalifungwa na Amiri Kiemba na Haruna Moshi 'Boban'. Kwa sasa SSC ndio wako juu kwenye ligi hiyo bada ya pia kushinda mechi yao ya kwanza dhidi ya African Lyon ambapo SSC walishinda 3-0.

Simba SC; iliwakilishwa na Juma Kaseja, Nassor Masoud ‘Chollo’, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Juma Nyosso, Mwinyi Kazimoto, Amri Kiemba, Haruna Moshi ‘Boban’, Daniel Akuffo, Mrisho Ngassa na Emanuel Okwi.

Katika mechi nyingine za ligi hiyo, Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza Azam imelazimishwa sare ya 2-2 na wenyeji Toto African, Uwanja wa Kaitaba Bukoba, wenyeji Kagera Sugar wametoka sare ya bila kufunga na JKT Oljoro ya Arusha, wakati Uwanja wa Sokoine Mbeya, wenyeji Prisons wametoka sare ya 1-1 na Coastal Union ya Tanga na kwenye Uwanja wa Chamazi, African Lyon imeifunga Polisi Morogoro 1-0, wakati Uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Ruvu Shooting imeifunga 2-1 Mgambo

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA
                           P    W  D   L    GF       GA      GD      P
Simba SC            2    2    -     -     5          -           5          6
Mtibwa Sugar      2    1    1    -     3          -           3          4
Azam FC             2    1    1    -     2          1          1          4
Coastal               2    1    1    -     2          1          1          4
Ruvu Shooting    2    1    -     1    3          3          -           3
JKT Ruvu            2    1    -     1    2          3          -1        3
African Lyon        2    1    -     1    1          3          -2        3
Toto African         2    -     2    1    3          2          1          2
JKT Oljoro           2    -     2    1    1          -           -           2
Prisons                2    -     2    -     1          1          -           2
Polisi Moro           2    -     1    1    -           1          -1        1
Kagera Sugar      2    -     1    1    -           1          -1        1
Yanga SC            2    -     1    1    -           3          -3        1
JKT Mgambo       2    -     -     2    1          3          -2        0

MATOKEO MECHI ZOTE LEO:
JKT Ruvu 0-2 Simba SC
Mtibwa Sugar 3-0 Yanga SC
African Lyon 1-0 Polisi Moro
Ruvu Shooting 2-1 Mgambo JKT
Prisons 1-1 Coastal Union
Kagera Sugar 0-0 JKT Oljoro
Toto Africans 2-2 Azam FC

Photo of the day.... LOl

Viongozi wa Yanga, kushoto Mussa Katabaro na Seif Ahmad 'Magari' wakiwa taaban Uwanja wa Jamhuri jana
Hao ni viongozi wa Yanga pichani hapo jana wakiwa hawaamini kinachoondelea kweny eUwanja wa Jamuhuri Moroggoro ambapo vijana hao wa Jangwani walipigwa 3 bila. Magoli ya Mtibwa yalifungw na Dickson Daudi dk ya 11, na Hussein Javu aliyefinga magoli mawili dakika ya 43 na 86. Katika dakika ya 89 Yanga walipata penalty ambayo nayo walikosa kwani mchezaji wao Hamis Kiiza aliipaisha juu. Ama kweli siku ya kufa nyani...

Watani wanawatania walikwenda na magari ya kifahari na kurudi na Bajaji za miguu mitatu (magoli 3).. lol

Yanga kwa msimu huu kwa kweli hawakuanza vizuri ligi kwani mechi yao ya kwanza walilazimishwa suluhu ya bila kufungana na Prison.

Jana vikosi vy Ynaga na Mtibwa viliwakilishwa na hawa..
Yanga SC; Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, , Mbuyu Twite/Kavumbangu, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Athumani Iddi ‘Chuji’, Frank Domayo/Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Said Bahanuzi, Hamisi Kiiza na David Luhende/Stefano Mwasyika.

Mtibwa Sugar; Shaaban Hassan Kado, Malika Ndeule, Issa R Issa, Dickson Daudi, Salvatory Ntebe, Shaaban Nditi, Jamal Mnyate/Babu Seif Ally, Awadh Juma, Hussein Javu, Shaaban Kisiga ‘Malone’ na Vincent Barnabas/Ally Mohamed 'Gaucho'.