Monday, October 17, 2011

HII ILITOKEA SIKU YA KUNAWA MIKONO DUNIANI.


Wasanii wa Kikundi cha Orijino Comedy Wakitoa somo la jinsi ya unawa mikono  wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani lililofanyika Tarehe 14 actober 2011 jijini  Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete .  Hivi kati yetu nani anakumbuka kunawa mikono kila wakati anapotakiwa kufanya ivyo? Ingawa naona effort yote imeelekezwa kwa Watoto wa shule nadhani wazazi nao wanatakiwa kukumbushwa ….. haya tunawe mikono ndugu zangu

No comments:

Post a Comment