Thursday, November 17, 2011

Aishwarya Rai na Abhishek Bachchan Wapata Mtoto wa Kike

Wakali wa Bollywood Aishwarya Rai na Abhishek Bachchan wamepata mototo wa kike leo tarehe 16, November 2011 katika hospital binafsi ya Seven Hills huko india,Rai mwenye umri wa miaka 38 ni mshindi wa zamani wa miss world(2003) alioana na Abhishek mwenye umri wa miaka 35 motto wa gwiji wa movie za kihindi Amitabh Bachchan mwaka 2007, Tunawapa hongera ….

No comments:

Post a Comment