Tuesday, December 6, 2011

JAMAA ALA KIPONDO CHA HAJA TOKA KWA DEMU WAKE

 
Jamaa alikuwa na mpango wa kumuadabisha girl friend wake, kilichotokea bi dada akaja juu na kujibu mapigo na kumpafundisho, kuwa wakina dada wamechoka kugeuzwa punching bag.

No comments:

Post a Comment