Tuesday, December 6, 2011

MABADILIKO TANZANIA.....WAKURUGENZI VIJANA NBC

Lawrence Mafuru(Kushoto) Mkurugenzi mkuu wa NBC, Nyuma Yake Maharage Chande COO( Chief Operating Oficer) NBC
Kwa Sasa nchi yetu imekuwa na mabadiliko ya kufurahisha huko vijana wadogo wakiongoza taasisi kubwa kama benki kubwa hapa Tanzania NBC ambayo ina viongozi vijana kama wanavyoonekana katika picha hii wakiwa pamoja na wafanyakazi wengine wa benki hiyo katika siku wanafamilia wa benki hiyo iliyofanyika katika hotel ya South Beach , Dar Es Salaam mwisho wa wiki.

2 comments:

  1. Interesting inatupanguvu sisi ughaibuni kurudi nyumbani mfano wa kuingwa

    ReplyDelete
  2. Iga kurudi Ufe, hawa hawajasoma shule zenu za vizungu vinggiii haya matunda ya udsm na IF<

    ReplyDelete