Wednesday, December 14, 2011

Mashindano ya Castle Litle Taifa Cup yaendelea leo jijini Dar

Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Tuku Subira (Kushoto) na Semeni godwini wa mkoa wa Shinyanga wakiwania mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam.Shinyanga ilishinda kwa vikapu 51 - 27
     Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Lilian Hermani (Kulia) na Mary Meshack wa mkoa wa Shinyanga wakinyang’anyana mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam.Shinyanga ilishinda kwa vikapu 51 – 27
  Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Morine Syzia wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam.Shinyanga ilishinda kwa vikapu 51 - 27                            
                            

No comments:

Post a Comment