Wednesday, December 14, 2011

Quote of Today “life is full of surprises expect the unexpected” .Wema akilalama Kuibiwa Diamond wake


Though its one side story Wema analalamika akimulika mwizi wa mapenzi yake akimtaja Jokate kama ndio kisa cha yeye kufunga virago na kuondoka nyumbani kwa mchumba wake Diamond, different source though zinaeleza kuwa Mahusiano ya Jocate na Diamond ni ya kikazi tu na Wema amekuwa na Kitete na Kutojiamini, na zaidi  Wema analalama bila kuwa na Ushahidi, What ever the Case is at least tumepata Neno la Leo“life is full of surprises expect the unexpected” si ajabu Hata Jocate hakutegema Kama wema anaweza kwenda National TV na Kumwaga Sumu kali juu yake,,,,,,, it applies to everyone in life
                                 

                                    

1 comment:

  1. Jokate kama ni kweli umefanya hivyo utakuwa na roho ya kinyama na ni kunguru maana list yako ni ndefu mno na watu wenyewe wanaozungumzwa mhh!!! ila kama ni uwongo take it easy ndio gharama za kuwa celeb. au njoo kwa mwenye hii blog maana huwa anakuzimia mpaka anashindwa kujizuia na unamjua, imagine jana kaweka picha yako ile nyingine ila akaiona sio nzuri na hajakutendea haki na leo akaamua kuichota hii from kiki ili ajiridhishe nafsi yake. ni mtu mwenye nia njema kwako na ameipost hii ili kukusafisha so usijisikie vibaya.

    ReplyDelete