Wednesday, December 14, 2011

VOTE FOR MISS GLADYS SHAO

Mpigie kura miss Gladys Shao ambaye anawania Taji la miss University Kenya akikiwakilisha chuo kikuu cha kimataifa cha marekani Kenya(USIU), mpigie kura kupitia mtandao wa www.pambazuka.co.ke Gladys ambaye anasomea shahada ya kwanza ya uandishi wa habari chuoni hapo iwapo atashinda ataiwakilisha nchi ya Kenya katika mashindano hayo, Gladys ni matakeo ya Miss Tanzania ambapo alikuwa mshindi wa 2 miss ilala mwaka 2009 na Kufanikiwa kuingia top ten miss Tanzania Mwaka 2009. Hongera Gladys kwa kupeperusha Bendera Ya Tanzania kwa Watani wetu wa Jadi.


1 comment: