Friday, December 9, 2011

SHEREHE YA MIAKA 50 YA UHURU, TANGANYIKA KATIKA PICHA

Rais Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam mchana huu hapa akisalimiana na Rais wa Namibia Mhshimiwa Hifikepunye Pohamba

Wazee wa Kazi Msondo ngoma wakiburudisha wananchi

Vijana wa Halaiki wakiwa tayari kwa kazi

Msondo Ngoma

Msafara wa Rais Ukiingia Uwanjani

Rais Akiwapungia wananchi waliohudhuria

No comments:

Post a Comment