Monday, January 2, 2012

NEW MOVIE BIG DADDY, BY KANUMBA

New Daddy ni movie mpya toka bongo movie industry, Movie hii mahsusi kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya ni sinema ambayo Kanumba anasema ni kwa ajili ya Familia na kama kawaida yake anatumia nafasi hii kuibua vipaji vipya vya watoto, Hii ni baada ya kufanikiwa kumtoa mtoto Jenifer, safari hii ni zamu mtoto Sophia, Kanumba anasema ni full kucheka .

No comments:

Post a Comment