Thursday, February 23, 2012

National Enquirer's na picha ya Mwisho ya Whitney Houston

Picha ya Mwisho ya Mwili wa Whitney Houston ndani ya jeneza ikiwa imechapishwa katika cover ya gazeti la National Enquirer, alongside a bold headline 'Whitney: Mhh nafikiri kama jamaa wamevuka mipaka vile, cause familia waliomba picha za marehemu zisipigwe wala kuchapishwa ndio mambo ya wenzetu hayo

No comments:

Post a Comment