Tuesday, February 14, 2012

NEW MOVIE ''KIJIJI CHA TAMBUA HAKI’’ BY KANUMBA THE GREAT FILMS IKIDHAMINIWA NA POLICY FORUM

 kutoka kushoto ni Mr.Hendron Mwakagenda,Kanumba na Mr.Alex Modest Afisa toka Policy forum wakionyesha poster itakayotumika kutangaza sinema hiyo

Policy Forum ikishirikiana na Kanumba Films imezindua filamu mpya ambayo inategemewa kuwa na mapinduzi makumba katika tasnia ya Filamu hapa nchini, Filamu hiyo ambayo inahusu harakati za  maisha ya kawaida ya mtanzania inaonyesha kuwa na mapinduzi makubwa katika kuonyesha uhalisia wa Maisha ya mtanzania wa Kawaida akisisitiza jambo hilo wakati wa kikao na waandishi wa habari  Kanumba   The great  alisisitiza kuwa “ ni filamu ya kipekee hakuna mapenzi humo,hakuna majumba ya kifahari wala suti nzuri.ni maisha halisi anayoishi Mtanzania wa leo kijijini.” Maneno hayo yanathibitishwa na baadhi ya picha ambazo zimepatikana kuinadi filamu hiyo….. tukae mkao wa kula ili kuthibisha maneo haya ya Kanumba, Filamu hiyo itatoka mwishoni mwa Mwezi huu na kusambazwa na kampuni ya STEPS ENTERTAINMENT TZ LTD.








         picha hisani ya kanumbathegreat.blogspot.com

No comments:

Post a Comment