Saturday, March 24, 2012

Bomoa Bomoa Dar Katika Picha

Bomoabomoa katika nyumba zilizokuwa za watumishi wa Mamlaka ya Bandari na Reli mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ili kupisha ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo kasi DART ambao unategemea kuanza hivi karibuni, . Hatua hii inakuja siku moja tu baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi waliyokuwa wamefungua wakaazi hao na serikali ya Mkoa wa Dar es salaam kuchukua hatua chap cha siku ya Jana Ijumaa, Click the link  below for More Pics


No comments:

Post a Comment