Monday, March 26, 2012

Msome huyu Housegirl mwenye HIV alivyofanya damu yake ya hedhi (period) recipe ya uji wa mtoto

 
Guys, inabidi tuwe makini sana kuhusu hawa madada wa kazi tunaowaleta majumbani kwetu. Ni vizuri kuishi nao vizuri ili wasiwe na visirani na watoto wetu na pia kujua afya zao ni vizuri zaaidi. Hebu soma huki alivhokifanya dada aliyeathirika kwa mtoto wa bosi wake…

Housegirl mwenye umri wa miaka 17 amebambwa akiweka damu yake ya hedhi (period) kwenye uji wa mtoto wa muajiri wake, mwenye umri wa miaka 4. Msichana huyo anayeitwa Pelagia Mureya, alifanya kioja hicho cha kutisha nchini Zimbabwe.

kwa mujibu wa website ya NewsDay, Miss Mureya, ambaye ni HIV positive, alifanya kitendo hicho cha kikatili mara kadhaa kabla ya kukamatwa

Uchakachuaji huo uligundulika pale mwajiri wake aliona tone la damu wakati mtoto wake akila uji, na kufanya "uchunguzi."

Baada ya kukamatwa, Mureya alidai hafahamu damu imetoka wapi

Mwajiri wake alichukua uji, mtoto wake na mjakazi Hospitali Gutu Vijijini ambapo vipimo vilithibitisha ilikuwa ni damu ya hedhi ya Mureya.

Mureya, ambaye ni kutoka kijiji cha Chinhoyi, alihukumiwa miaka 10 jela.

Hakukuwa na maelezo yaliyotolewa ni kwa nini aliweka damu kwenye uji wa mtoto wa muajiri wake.

1 comment:

  1. Huyu alitakiwa afungwe maisha sababu ni sawa na murder !

    ReplyDelete